Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Siwezi kubishana na aliowasema Rage,maana nikupoteza mudasio advantage, ndio level za shirikisho
anashangaa ndiye huyu wanayemsifia anayepaisha?Hamjui Mayele, ndiyo ameenda kumuangalia
Sure timu sijui inapresha gani leoYyanga wamejipulizia na wao sumu nini?? Pira bovu
wapo pia aliowasema Manara na Luc EymaelSiwezi kubishana na aliowasema Rage,maana nikupoteza muda
Yani ujinga unaoendelea...Wachezaji wanatakiwa wacheze Kwa ku relax, Magoli yapo tu mengi
Inasubiri kombe la ASFCTimu yako inacheza mashindano gani?
Unakusanya watu eti kuja kuangalia soka, kumbe ndio hizi katuni kama timu ya kijijiTimu yako inacheza mashindano gani?
Unakusanya watu eti kuja kuangalia soka, kumbe ndio hizi katuni kama timu ya kijiji
Wazee wa kutolewa kiume [emoji23]Siwezi kubishana na aliowasema Rage,maana nikupoteza muda
Uto wakikutana na Marumo watapigwa 5 kwa Kasi ya wachezaji wa Marumo ni hatari.Marumo wanaongoza
Unateseka Ukiwa wapi wewe koloUto wakikutana na Marumo watapigwa 5 kwa Kasi ya wachezaji wa Marumo ni hatari.
πππWazee wa kutolewa kiume [emoji23]
Bonge la mechi yaaniYanga vs Malumo Gallant semi final
Kama ni mapato sawa, ila hakuna thamani ya fedha ya kiingilioTulia mzee, tunakusanya mapato π