FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

Ndio level ya timu za shirikisho
Chelsea alichukua UEFA chini ya Di Mateo wakati kwenye ligi wakiwa nafasi mbaya kuwahi kutokea katika miaka ile ,ni ngumu kwa Madundukaz kuelewa hili.
 
Kazi wanayo Yanga,jamaa kama Mamelodi.

Pyramid imeisha haina kitu,Malumo ame deserve kabisaaa kapiga mpira mkubwa sn
Hii walivyokuwa wanacheza wanajiangusha
Kipa anachelewesha mchezo kujifanya kaumia mpk kala kadi ya njano
Marumo hamna timu pale

Yanga ileeeeeeeee FAINALI
 
Kuna mashabiki wanakomenti hapa timu zao hazipo kimataifa.
Iheshimuni Yanga Tafadhali [emoji39]
 
Aziz Ki anajipigia tu mashuti kwenye kila freekick...bila ufundi wowote
 
Kipindi cha pili kidogo wachezaji wa Yanga wamekaza m@tak0
 
Back
Top Bottom