Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Wewe hukuzitaka?Hela za mama Yanga hamzitaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hukuzitaka?Hela za mama Yanga hamzitaki
Chelsea alichukua UEFA chini ya Di Mateo wakati kwenye ligi wakiwa nafasi mbaya kuwahi kutokea katika miaka ile ,ni ngumu kwa Madundukaz kuelewa hili.Ndio level ya timu za shirikisho
Wale tutawapiga kama ngoma lzm yanga iandike history yake pekeeYanga tukifuzu tunakutana na marumo
Marumo kamfunga PYRAMID 1 bira AGG 2-1
Asec kafuzu kamtwanga US MONASTR
Hiyo ni sawa na mpira wa kurusha training sessions za timu za CAFCLMayele kamburuza beki wa Rivers, kavutwa nje kidogo ya 18...ni freekick Yanga wanapata
Unapigwa muwa na Ki, kipa anapangua...
Hii walivyokuwa wanacheza wanajiangushaKazi wanayo Yanga,jamaa kama Mamelodi.
Pyramid imeisha haina kitu,Malumo ame deserve kabisaaa kapiga mpira mkubwa sn
Hizi coment zenu za kombe loser tunazihifadhi mwakani mkiwa CAFCL tutawaoneshaAliyesema kombe la luza alikuwa sahihi kwa kiasi fulani. Tofauti kubwa sana na CAFCL, goli 3 za huku ni sawa na off target ya CAFCL
Yaan huko SOUTH sasa hivi matumbo juto wakiifikilia YANGA akili haziwakai sawaWale tutawapiga kama ngoma lzm yanga iandike history yake pekee
SamalekooHichi mnachokiona hapa ni nini? Hii timu yetu Leo imelogwa??
Kama timu yako haipo kimataifa[emoji850][emoji850]Samalekoo
Simba bado haijaondoa matunguli yake uwanjani🤣Hichi mnachokiona hapa ni nini? Hii timu yetu Leo imelogwa??
Ugali mwingi akili donchiAziz Ki anajipigia tu mashuti kwenye kila freekick...bila ufundi wowote