FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

Mashabiki wa Yanga wanaanza kuchoma mimoshi kama Waarabu...
 
Dk 90 + 3

Yanga 0 - 0 Rivers

Mpira umeishaaa...

Yanga 2 (aggr) 0 Rivers

Yanga wanaelekea nusu fainali ambapo watakutana na Marumo Gallants...

Mechi ya kwanza itachezwa Lupaso...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…