Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnamuonea donge tu na tupaja twenu Kama twa mbu, Sisi tunaooneshewa tunajisikia Raha, paja paja, paja mkomao, paja limejaa misuli🤣Anatafuta bwana huyo
Sema kama Wydad Casablanca.Mashabiki wa Yanga wanaanza kuchoma mimoshi kama Waarabu...
Huku salama kabisa! Sijui huko kwetu Sumbawanga.Nipo mkuu za huko ulipo?
Mkuu sisi ni watani..ya jana ndo ya leoKwanini makolo wanaumia kuliko Rivers
Kama tumewakalisha waarabu og,kwao,tunashindwa je kwa huyo,hadi tunabeba ndoo🤔.Uto wakikutana na Marumo watapigwa 5 kwa Kasi ya wachezaji wa Marumo ni hatari.
Shida ya Yanga huwa wanaridhika mapema, wakipata matokeo kidogo huwaoni Wana Ile spirit ya kupambana kutaka zaidi.Wachezaji hawaoneshi spirit yoyote ya kupambnaa. Yaani washabiki wamehamasika kuja uwanjani ila machezaji yanacheza kisengerema..
Sasa kuna timu hapo? Bonanza hiiNasikia hakuna shot on taget
Hongereni mkuuTumeenda nusu Fainali Yanga
Mpira umeisha?Hongereni Yanga kwa kufuzu hatua ya nusu fainali kombe la shirikisho Afrika, kwa mara kwanza katika historia yenu.
Unateseka kutokea wapiKusafiria nyota ya Simba Sc hakuwezi kuwafikisha popote