FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

Samalekoo wana Yang'a popote pale mlipoooo..nasema hiviii hongereni kwa kuvuka kwny group dhaifu mnooo...bila goli 10 any way......

See u at the top
Club Bingwaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Inamaana hizi timu zetu leo yani Yang'a na wapopo zilikua hazioni nyavu hata kupeleka mpira hapo?.au walivembewa
 
Lakini ndio hivyo tena, watu wamevuka kwenda nusu fainali. Sisi Makolo tumeishia tu "kufa kiume".

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Acha tuu sie tuna kombe letu la kiumeni
 
Back
Top Bottom