Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Samalekoo wana Yang'a popote pale mlipoooo..nasema hiviii hongereni kwa kuvuka kwny group dhaifu mnooo...bila goli 10 any way......
See u at the top
Club Bingwaaa
Punguza roho ya kwanini mkuuHamna cha nje ndani pamoja na kuiba hela yao ya kula
Hongera zenu Uto
Kawaombe CAFMweeee hivi hii timu ingekutana japo na vipers tuuu...uwiiii
Asante mamieHongereni Yangaa
Lakini ndio hivyo tena, watu wamevuka kwenda nusu fainali. Sisi Makolo tumeishia tu "kufa kiume".Doooo mechi ya leo ni mbovuuuu mbovuuu mbovuuuu tenaaaaa
Hao ni wehu tuu wamekuja kushiriki bonanza
Acha tuu sie tuna kombe letu la kiumeniLakini ndio hivyo tena, watu wamevuka kwenda nusu fainali. Sisi Makolo tumeishia tu "kufa kiume".
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wakati sisi tunakunja 1.5B na nyie ni wakati wa kuchukua laki mbili yenu mliyoipambania kwa jasho na damuAsante kolo
Kumbee...mi basi nilikua nasubiria magoli tuuHata hivyo beki za Yanga zimejitahidi kuzuia mikimbio ya jamaa...
Kwa Yanga man of the match anapaswa kuwa moja ya beki za pembeni...
Na kila siku nyie mnakufa kiume tu hamjawahi kuua kiume nyie ni vifo tu🙌😀😀 how are you lkn mkuu?Lakini ndio hivyo tena, watu wamevuka kwenda nusu fainali. Sisi Makolo tumeishia tu "kufa kiume".
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]