FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

Ila hii Yanga iliyojichokea tunaisubiri FA tukajipigie, safari hii si chini ya mkono unawahusu. Denis Kibu Mkandaji anawasubiri.
 
Screenshot_20230430-213739_Opera%20Mini.jpg

Timu zilizofuzu hizi hapa.Hiyo game ya mwisho Alger ana aggregate ya 2 ila leo moto utawaka huko.Mechi saa nne
 
Timu yetu ya wananchi Yanga huu mwaka wa tatu tupo na profeseri Nabi lakini hatujawahi kuingia makundi ya Cuf championship daaah😥
 
Back
Top Bottom