Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Laki mbili inatosha sana tuWakati sisi tunakunja 1.5B na nyie ni wakati wa kuchukua laki mbili yenu mliyoipambania kwa jasho na damu
Hongereni kwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laki mbili inatosha sana tuWakati sisi tunakunja 1.5B na nyie ni wakati wa kuchukua laki mbili yenu mliyoipambania kwa jasho na damu
Hongereni kwa kweli
Kuna siku watakufa kikeNa kila siku nyie mnakufa kiume tu hamjawahi kuua kiume nyie ni vifo tu🙌😀😀 how are you lkn mkuu?
Mabao tunayo siye mashabiki wa Yanga,ukitaka njoo tukupePoleni mlioenda kushangaa bonanza lisilokua na mabao...
Tanesco wamejitoa mapema sana.Unatumia umeme wa Tanesco...
Shida ya leo sio uwanja kukosa umeme bali taa zimezima...
Naona unahamisha magoliIla hii Yanga iliyojichokea tunaisubiri FA tukajipigie, safari hii si chini ya mkono unawahusu. Denis Kibu Mkandaji anawasubiri.
Hilooooooooooooooooo kolooooooooooooSioni Mwana Yanga akitoka Kifua mbele kujisifu...Hii Zalani ya Nigeria ilikuwa iku'ngutwe 9-0.
Lakini tumeshuhudia Mechi mboooooooooooovu Sana.
🤛🤛🤛🤛🤛🤛🤛🤛🤛🤛🤛Safiii Yanga..
Ila itabidi wajitahidi sana kwa Game zinazofuata.Hata hivyo beki za Yanga zimejitahidi kuzuia mikimbio ya jamaa...
Kwa Yanga man of the match anapaswa kuwa moja ya beki za pembeni...
Hayo ni mabovu hahaMabao tunayo siye mashabiki wa Yanga,ukitaka njoo tukupe
Mkiingia nyie inatoshaTimu yetu ya wananchi Yanga huu mwaka wa tatu tupo na profeseri Nabi lakini hatujawahi kuingia makundi ya Cuf championship daaah😥
Hii nusu fainali mmekumbuka kupiga nayo picha?Laki mbili inatosha sana tu
Mabao yalikuwa Morocco.Poleni mlioenda kushangaa bonanza lisilokua na mabao...
Mtani Mtani Mtani nimekuita mara 3 ebu ukuje hapa nitete nawe kidogoPoleni mlioenda kushangaa bonanza lisilokua na mabao...
Yanga atapangiwa hao Marumo.View attachment 2605416
Timu zilizofuzu hizi hapa.Hiyo game ya mwisho Alger ana aggregate ya 2 ila leo moto utawaka huko.Mechi saa nne