Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Subiria wataalamu watatufahamishaUwezekano wa Yanga kwenda Final ni mkubwa sana.
Hao Marumo hamna kitu.
Sijajua wataanzia wapi.
Wao wamemaliza 2-1.
Yanga 2-0.
Sasa sijui mpango unakuwaje
AahaaaaaaaMechi haina TBS kabisa😆
Kombe la waliokufa kiume lina anza lini?Mechi haina vionjo vya kimataifa, angalia mechi za Ijumaa na Jumamosi ukiangalia na hii.
Kazi ilishaisha naijaMtapata tabu saaana. Nasikia leo Profesa Nabi alikuwa anatumia formation ya 3~2¿3&1%1 ndiyo maana mpira ulikuwa haueleweki.
taa zimekuja juzi ila bado hujui kama si mara ya kwanza kuzimika hahahahaTaa ndo zumekuja juzi sio mimi. Mi ni born hiahia, sikuja mjini kwa hisani ya elimu ya chuo kikuu.
AahhaaaaKombe la waliokufa kiume lina anza lini?
Nenda kapokee maiti iliyo kufa kiumeMechi haina TBS kabisa[emoji38]
Hata Hadija kopa hawagi hivivipi Rivers nae kafa kiume kama nyie?
tunaweza anzia nyumbaniUwezekano wa Yanga kwenda Final ni mkubwa sana.
Hao Marumo hamna kitu.
Sijajua wataanzia wapi.
Wao wamemaliza 2-1.
Yanga 2-0.
Sasa sijui mpango unakuwaje
Nme muonesha kombe laoKuwa mzalendo,ebu mfute kamasi
Anakuaga kama weweHata Hadija kopa hawagi hivi
Kwanini?tunaweza anzia nyumbani
Tunaanzia nyumban haina ubishiUwezekano wa Yanga kwenda Final ni mkubwa sana.
Hao Marumo hamna kitu.
Sijajua wataanzia wapi.
Wao wamemaliza 2-1.
Yanga 2-0.
Sasa sijui mpango unakuwaje
Lilo poaaaaaaaaaNme muonesha kombe lao View attachment 2605422
Tuombe iwe hivyoTunaanzia nyumban haina ubishi
KumbeeeKazi ilishaisha naija
Nimekereka lile Bwege linapata nafasi 2 za wazi kwenye mechi ngumu kama hii afu linakosa kutumia hata 1 tu, sijui lilikuwa linahisi linacheza na mbuzi uwanjani? [emoji57]Rafiki mbona sikuoni kwnye jukwaa hapa
AahaaaaaaHayo ni mabovu haha
Mmeanza kuwakuza ili mje mtambe mnacheza na Mamelodi maana hawa Rivers mlisema mnacheza na Nigeria nzima ila uwanja hata watu 2,000 hawakufika.Tuombe iwe hivyo
Ila Marumo ni nyoko ni kama kaka yake Mamelodi wanapeleka moto haijakishi Home au Away