Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Itakuwa una udug na hadija kopa au zuchu weweNenda kapokee maiti iliyo kufa kiume
Mechi ya kipuuzi sana, haina TBS kabisaKuna watu wameona afadhali wawaangalie madogo wa AFCON U-17 kuliko utopolo wa kwa Mkapa.
Hongera kwa kupambania tumbo Mtani, inaonekana uko vizuri si kiushabiki tu bali hata kiutafutaji [emoji122]Mm nilikua shambani ndo narudi nasikia kuna mechi...
CAFC wakiona gemu ya leo wanaweza kuyafuatilia mbali mashindano haya ya ushirikishwaji. Kwanza timu zinaibiana hela ya msosi, wanazimiana taa uwanjani , yaani uhuni mtupu 🤣😂🤣Mechi ya kipuuzi sana, haina TBS kabisa
Anyway, maadam tumefuzu ngoja niwe mpole ila ni kosa kubwa sana kukosa nafasi za wazi namna ile kwenye hatua ngumu kama hizi.YUpo kwny fungate labda nguvu zimeisha
AajhajaaaaKuna watu wameona afadhali wawaangalie madogo wa AFCON U-17 kuliko utopolo wa kwa Mkapa.
Hii nchi hii. Daa.
Nyie mara ya mwisho mmeiona lini?Hii nusu fainali mmekumbuka kupiga nayo picha?
Kwasababu baada ya hapa kuiona tena ni mpaka miaka 30 mingine
Simba acheni kuja kuzurura huku, tunajadili mambo ya uwakilishi wa nchi kimataifa. Tutawaiteni tukianza kujadili mechi za JKT na Mtibwa.Sasa na kuwamwagia tindi kali kwny gari lao na kuwaibia mi nikajua watakua dhaifu wafungwe hata 10
😂😂😂😂🙄😁, kumekucha.Lile lililobadili dini sababu ya Binadamu mwingine ilihali kiumbe chenyewe huwa hakitabiriki ndiyomaana tuliambiwa tuishi nacho kwa akili.
Wamevaa vinyago tu itakuwa lipuli hawa[emoji848]Hawa jamaa sio wanaijeria mbona wabovu hivi
Wana zero on target kama nyie wazee wa kufa kiumeAhaaaa uongoo huoo huo uongoooo
Sema li timu la rivers ni libovuu mnoooo
Kwa uchezaji wenu wa leo wangeweza kuwapiga hata 4 ila ni mibovuu
Unapata wapi nguvu za ku comment?Mmeanza kuwakuza ili mje mtambe mnacheza na Mamelodi maana hawa Rivers mlisema mnacheza na Nigeria nzima ila uwanja hata watu 2,000 hawakufika.
Ni dhambi?Itakuwa una udug na hadija kopa au zuchu wewe
Utakufa siku si zako mtoto mdogo roho ina kutuHii nusu fainali mmekumbuka kupiga nayo picha?
Kwasababu baada ya hapa kuiona tena ni mpaka miaka 30 mingine
Si dhambi maana mnatuburudisha kwa mashairiNi dhambi?
Sawa dadaSi dhambi maana mnatuburudisha kwa mashairi