FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

Kombe lenu madunduka hilo
 

Attachments

  • ffdafeb59e36437b97d2b82a229b282d.jpg
    ffdafeb59e36437b97d2b82a229b282d.jpg
    4.4 KB · Views: 1
Leo YANGA wana Haki ya kufurahi sana kwani YANGA ilianzishwa Mwaka 1935 leo ni Miaka 88 na toka imeabzishwa imekuwa ikishiriki Mashindano ya CAF na kuishia Hatua za Robo fainali au Raundi ya kwanza na ya Pili.Kwa Mara ya kwanza baada ya Miaka 88 YANGA imefuzu Kucheza NUSU FAINAL ya Kombe la SHIRIKISHO ni AIBU kwa Miaka yote hiyo KUSHINDWA kufuzu hatua ya NUSU FAINAL
mwananchi_official_1682882017270317.jpg
 
Back
Top Bottom