Ubaya ni kuwa wanakimbilia kuanzisha nyuzi na updates hawaleti.Niseme tu wazi nakemea na inaudhi sana mechi ya SAA moja usiku mtu anaanzisha thread mid night, huu ni ujinga kusema ukweli.
Maxence Melo lipokee hili na lifanyiwe kazi ikiwezekana game Kubwa thread ya Live iwe ni jukumu la moderator na thread ya porojo kama hii iachwe kwa ajili ya porojo za mashabiki.
Maana thread ya hivi muda wa mechi ukifika unakuta page kibao hujui uanzie wapi.
Hii tabia inaota mizizi kwenye hili jukwaa ni vizuri ikatafutiwa ufumbuzi, mpaka mtu anaweza kudhani kuna malipo yanatolewa kwa atakayewahi kufunguwa thread ya mechi, huu ni ujinga.
Wameshajinyakulia kombe lao la robo. 😂😂Walikuwa wanaleta maringo sana kama vile watabeba kombe kumbe mwisho wao ni pale pale kwa kipindi chote. Wakae kwa kutulia sasa washabikie timu pinzani au waugulie kimya kimya
Hahahaaa! Hii comment imenifanya nimecheka sana yaani Mkuu.eti mpira hauna adabu... Hauna adabu kwenu nyie makolo wizards...
YANGA 💛💚 BINGWA
Rekebisha kabla ya hujashambuliwa kama nyuki na Wananchi wasiopenda mambo ya hovyo hovyo.Yanga itafungwa 1-0, wataenda hadi penati na Yanga atatoka Kwa Penati.
Wewe makolo tulia. Acha kuweweseka hovyo. Yanga haichezi kwa ajili ya historia! Yanga inacheza kwa ajili ya kutimiza malengo yake iliyojiwekea msimu huu.Nyie mmewahi kufika hiyo robo ya wakubwa🫣🫣
"WANASIMBA WOTE NI MBUMBUMBU" [emoji16]Yanga itafungwa 1-0, wataenda hadi penati na Yanga atatoka Kwa Penati.
Ndio kwani umeumia [emoji28]nasikia mmetuma wahuni wakapulizie sumu kwenye gari la rivers halafu mmewaibia hela zao za matumizi
[emoji33][emoji33][emoji33][emoji850]Rivers tutambuane Kwa imoji [emoji1535][emoji1535][emoji1535][emoji1535]
Bisha ufeKuna anayebisha!
Yanga
💪💪💪💪💪
Huu ni uongo [emoji16]Huenda ikiwa game ngumu kwa Yanga nikiwa na sababu zifuatazo:-
1. Kule Nigeria Yanga tulishinda kwa mbinu tu na sio quality ya wachezaji.
2. River United waliwachukulia Yanga poa, wakarelaxy wakijua watashinda walipopigwa la kwanza wskapanic wakajikuta wanapigwa la pili.
3. Yanga game psychology huenda ikawa cost watacheza kwa kurelaxy ili hali River itakuwa jihadi watapambana kweli kweli maana so psychology iliyowagharimu River kwao ndiyo hiyo huenda ikaigharimu Yanga kwa Mkapa.
Lakini ikiwa Yanga wataingia kwa wakiwa na kumbukumbu ya kulipiza kisasi cha kupigwa nje ndani basi wataibuka na ushindi mnono na kutinga semi final na kuweka historia katika ukanda huu.
Niwatakie Yanga ushindi.
Hatuna majirani sieee. 😅KWANZA WALITUDHARAU KISHA LAKINI BAADAE WATATUHESHIMU.....
WE YOUNG AFRICANS
USHINDI LAZIMA....
HATUNAGA UJIRANI... HATUNA MAJIRANI SIE
[emoji169][emoji172]
Nenda kapokee timu yenu imekuja na medals za robo finallyHayawahusu vipi wakati mlikesha kutazama mpira wa wakubwa, utopolo shida sana[emoji1787][emoji1787]
Eti mlikuwa mnasubiri Simba baba lao apigwe 7 jinga nyie🫣🫣