Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
AsanteHongereni mkuu
Hapa sasa nimegundua shida sio kukosa nafasi 2 za wazi, shida ni hiyo kubadili dini.Lile lililobadili dini sababu ya Binadamu mwingine ilihali kiumbe chenyewe huwa hakitabiriki ndiyomaana tuliambiwa tuishi nacho kwa akili.
Bila shaka ndo lengo la timu!Hatimaye tumeweka historia.
Hakika! Tukutane May 10. πBila shaka ndo lengo la timu!
M. Galant Wana Mpira wa Kasi sana. Btw mwakani mjitahidi muingie hata robo mashindano ya CAF.Hakika! Tukutane May 10. π
Hapa kikubwa ni kuutumia vyema Uwanja wa Mkapa kwenye game ya kwanza.M. Galant Wana Mpira wa Kasi sana. Btw mwakani mjitahidi muingie hata robo mashindano ya CAF.
CAF wawakabidhi kombe lenu la robo fainali.M. Galant Wana Mpira wa Kasi sana. Btw mwakani mjitahidi muingie hata robo mashindano ya CAF.
Labda Cuf ya Lipumba
Hapa ni Jana kwa MkapaHapa kikubwa ni kuutumia vyema Uwanja wa Mkapa kwenye game ya kwanza.
Eti tujitahidi. Lol.
Hongereni sana Uto..πππLeo YANGA wana Haki ya kufurahi sana kwani YANGA ilianzishwa Mwaka 1935 leo ni Miaka 88 na toka imeabzishwa imekuwa ikishiriki Mashindano ya CAF na kuishia Hatua za Robo fainali au Raundi ya kwanza na ya Pili.Kwa Mara ya kwanza baada ya Miaka 88 YANGA imefuzu Kucheza NUSU FAINAL ya Kombe la SHIRIKISHO ni AIBU kwa Miaka yote hiyo KUSHINDWA kufuzu hatua ya NUSU FAINALView attachment 2605496
Giza fc mlituangusha sana janaWana zero on target kama nyie wazee wa kufa kiume
Pole. Unapitia maumivu makali sana. Ungetulia pembeni kwa muda. Acha upepo huu upite kwanza, vinginevyo utachomoka na wewe.Kusafiria nyota ya Simba Sc hakuwezi kuwafikisha popote
Nyota ya robo?Kusafiria nyota ya Simba Sc hakuwezi kuwafikisha popote
Ukiona hivyo ujue Chama Baleke amekosa cha kuandika. ππNyota ya robo?
zero shot on target π―
Mbona hapo zipo Mkuu.zero shot on target π―