FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

Lile lililobadili dini sababu ya Binadamu mwingine ilihali kiumbe chenyewe huwa hakitabiriki ndiyomaana tuliambiwa tuishi nacho kwa akili.
Hapa sasa nimegundua shida sio kukosa nafasi 2 za wazi, shida ni hiyo kubadili dini.
Tuwaache watu na maamuzi yao, kama tunaona tunapitwa na hilo si vibaya kuwaiga kuliko kujitafutia maradhi ya moyo bure.
 
M. Galant Wana Mpira wa Kasi sana. Btw mwakani mjitahidi muingie hata robo mashindano ya CAF.
Hapa kikubwa ni kuutumia vyema Uwanja wa Mkapa kwenye game ya kwanza.

Eti tujitahidi. Lol.
 
Screenshot_20230501-071610_Facebook.jpg
 
Leo YANGA wana Haki ya kufurahi sana kwani YANGA ilianzishwa Mwaka 1935 leo ni Miaka 88 na toka imeabzishwa imekuwa ikishiriki Mashindano ya CAF na kuishia Hatua za Robo fainali au Raundi ya kwanza na ya Pili.Kwa Mara ya kwanza baada ya Miaka 88 YANGA imefuzu Kucheza NUSU FAINAL ya Kombe la SHIRIKISHO ni AIBU kwa Miaka yote hiyo KUSHINDWA kufuzu hatua ya NUSU FAINALView attachment 2605496
Hongereni sana Uto..👏👏👏
 
Back
Top Bottom