Wananchi wamewasha vilipuzi vinavyotoa Moshi mwingi [emoji23][emoji23]mbona uwanja una giza mazee...!!
🦁Aliyekatwa Ngebe au😂😂😂Mashabiki wa simba wana vidomo
Nani ni kocha mjanja na mwenye kuujua mpiraRivers United wana wakati mgumu sana. Maana walijiandaa kumkamia Mayele! Sasa watakutana pale mbele na suprise ya kijana mdogo kabisa Clement Mzize!!