Naona Rivers United wameanza kwa kasi ya ajabu. Wananchi tunatakiwa kupata goli la mapema ili kuwapunguza hii kasi.Yanga to the semis[emoji736]
kila la heri
Aisee kasi yao inatisha. Lakini tutawatuliza tu.Jamaa wameanza kwa kasi sana kutafuta goli la mapema. Yanga wawe makini
Sema tu Wala usiogopeNaweka akiba ya maneno,nitasema baadae[emoji23]
Mara nyingi huwa hivyo ila watatulizwa tu mbona wetu Hawa?Aisee kasi yao inatisha. Lakini tutawatuliza tu. It is just the matter of time.
Unaangalia mechi ipi we koloYanga tumezidiwa
Mkurugenzi mpaka dakika hii, mpira ni 50/50. Wala hatujazidiwa. Yaani kiufupi timu zote zimefunguka.Yanga tumezidiwa
Una sikiliza kwenye redio weweYanga tumezidiwa
Mmmh mdomo usije ukaponza kichwaaaSema tu Wala usiogope