Uhakikaaa la mamaa😜🏃Msamehe bure. Tuendelee kuiombea Yanga, iongeze hata moja.
Umeona eeeKutesa kwa zamu sio!!!🤣🤣🤣
Mm ni simba ..Mechi mbayaaa
Wewe ni covid sio simba 😆Mm ni simba ..
Hii mechi ni bora kuliko ya simba jana
Nasemajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee???Point 7 za mashindano gani ?
Haya mimi nasepa...Hebu tulia!!
Blaza usije kukimbia tu humuYanga 4-1 Real Bamako nimekaa paleeeee nasubiri kuitwa zuwena
Nanyi piaTo all men ambao badala ya kutembea kwa miguu au kuendesha baiskeli, ninyi mnatumia magari kwenda makazini na sehemu nyinginezo, kwa magari na pikipiki...Happy Women's day kwenu
Unamuongelea wonderkid Kisinda na mzize, kwa pumzi ganiKwa sasa yanga ni team bora na ikitaka iwe vizuri zaidi na itishe ni wachezaji wakiweza kumaintain speed ile ya mpira wanayoanza nayo dakk 5 za mwanzo angalau kwa dkk 35 tu basi itatisha sana.