FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

Mil 5+mil 5 yanga fanya kweli tuwakate vidomo unga fc
 
Kwa sasa yanga ni team bora na ikitaka iwe vizuri zaidi na itishe ni wachezaji wakiweza kumaintain speed ile ya mpira wanayoanza nayo dakk 5 za mwanzo angalau kwa dkk 35 tu basi itatisha sana.
 
Unamuongelea wonderkid Kisinda na mzize, kwa pumzi gani
 
Back
Top Bottom