Nasikia mpira umeokotwa Tandahimba huko
Jini Bamako alipitaKulikoni?
Nimeweka na clip hapoWe nawe mbea sana [emoji28]
Kaishia wapi huyu?
So unamuita What a Coach kwa kuwa amewaambia waongeze magoli, au kuna lingine?Prof nabi anawaambia wachezaji wake waongeze goli mbili ili ziwe 3.. what a coach [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Kufungwa ni kufungwa tena magoli sita bilaHujui mpira wewe, timu inaaibisha nchi pale inapolambwa magoli mengi nyumban.. hapo huoni hao uto wapo ugenini?
Amelipa maana Aucho alichezewa faulo mbaya huko MALIBila mjadala rafu hatarishi ile.
Tayari la Pili.Nasikia makelel banda umiza kunani huko?