FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

Yanga iwafundishe Simba jinsi ya kutumia uwanja wa nyumbani ili yale mambo ya kupigwa 3-0 nyumbani yasije kujirudia tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na aibu ya kwa mkapa hatoki mtu, huku wakampelekea mwarabu kinyumenyume. Mwarabu akatokea hukohuko nyuma. 😅😅😅😅
 
Nasemajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee? Kama timu yako haiongozi ligi yoyote ile kaa kimya[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
Nasemaje kama timu yako haichezi champions leage kaa 🤐🤐
 
Back
Top Bottom