mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
- Thread starter
- #481
Nasemajeeeeeeeeeeeeeeje? Simba ikajifunze Kwa Yanga kutumia uwanja wa nyumbaniYanga ndio imejifunza kwa Simba acha kujitoa ufahamu hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasemajeeeeeeeeeeeeeeje? Simba ikajifunze Kwa Yanga kutumia uwanja wa nyumbaniYanga ndio imejifunza kwa Simba acha kujitoa ufahamu hapa.
pesa madafuTunahesabu hela,bado mil 5 nyingine naiona.
Hata simba alishawahi kumpiga yanga 6Simba alishaipiga Yanga 5-0
Halafu wakamzidi Hadi mwalimu mwenyewe Kwa ufanisiYanga ndio imejifunza kwa Simba acha kujitoa ufahamu hapa.
Nyie si hamna uwezo wa kufunga magoli mengi ndio maana mnachezea mil 5,kila mechi jana mshukuruni mshika kibendera kawanyima goli Vipers.pesa madafu
Miaka yote wakati Simba inautumia uwanja huo Yanga hata mashindano ya Losers walikuwa hawachezi. Unaikumbuka ile timu ya Wanaigeria walikupiga nje ndani?Nasemajeeeeeeeeeeeeeeje? Simba ikajifunze Kwa Yanga kutumia uwanja wa nyumbani
Nyie si hamna iwezo wa kufunga magoli mengi ndio maana mnachezea mil 5,kila mechi.
Hivi kweli unaweza ukacheza kwa ahadi ya milioni 5? Hizi mechi unacheza huku unachungulia muda, sio za kuingia kichwa kichwaNyie si hamna iwezo wa kufunga magoli mengi ndio maana mnachezea mil 5,kila mechi.
Wanamaainisha ni siku ya wanawake leo. Ndio siku yao.Hii picha ya mwanamke wanayoonesha Yanga Kila wakishinda Ina maana gani?
Kuna mtu tunashindana hapa
Cha ajabu South Africa mkaota mpaka moto kwa kombe hili hili na juzi mkarudi kinyume nyume na bado mkagongwa.Sawa wazee wa kombe la looser , Ungebaki kiumenj ukajua moto wake.
Yanga 2 -0 Bamako
Mkuu achana na ahadi za kisiasa. Kama makocha wangekuwa wanaangalia ahadi hizo na kuweka utaalamu wao pembeni, basi ungeona Nabi amewaanzisha Mayele, Musonda, Mzize kwa mkupuoNyie si hamna uwezo wa kufunga magoli mengi ndio maana mnachezea mil 5,kila mechi jana mshukuruni mshika kibendera kawanyima goli Vipers.