FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

Hizi ni motivation hata ulaya kuna kitu kinaitwa bonus kwa kila mechi watakayo shinda na kwa kila hatua timu itakayo piga kwenye mashindano.Nyie uwezo hamna wa kufunga magoli mengi.
Sawa, ila ujue Simba ana magoli 55 kwenye NBCPL, Yanga ana 42
 
Tofautisha kumfunga mtu kwao na kwenu
Hii rekodi bado hamjaifikia utoooo
 
Moaka Moloko anafunga goli? Kweli hili ni kombe la ma looser.......haya kachukueni hiyo milioni kumi kutoka kwa mwenye siku kama yenu
 
Weka rekodi za kutumia vyema uwanja wa nyumbani kati ya Simba na Yanga tuone nani anatakiwa akajifunze kwa mwenzake
Nasemajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee??? Kama timu yako haina milion 30 za rais Samia kaa[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
 
Back
Top Bottom