joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Mbona ww umenihamishia kwenye NBC Premier League wakati tupo kwenye mashindano ya CAF.Si ulikuwa unazungumzia magoli wewe, sasa mbona umehamia kwenye point? 🤣 🤣🤣
Mimi naamini kama unajua idadi ya magoli basi hata point utajua naomba nikumbushe idadi ya points pia.