FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

Mchambuzi bado yupo na Azizi Ki anadai jamaa alikuwa kama abiria tu uwanjani
Ndiyo tatizo la kupania game. Kaona unyama wa Chama jana akajazwa ujinga na yeye zamu yake leo 🤣😂🤣

Ila leo niliona niangalizie DSTV. Wazungu huwa wana madongo sana, anaweza kukuchamba kwa maneno simple tu.
 
Yanga wanatamani kusema Vipers ni wabovu lakini wakikumbuka walivyochomekwa miko kwenye Yanga day wanaishia kugugumia tu[emoji28]. Ila tuache utani Real Bamako ni Vipers iliyochangamka
 
5a89b07b-f64e-4761-9f41-dc381abb91af.jpg
 
Mimi Yanga bado nawalaumu sana kwa kuruhusu ile draw game iliopita na Bamako...
Tungekua muda huu tume relax hatuna was na point zetu 9 saa hiz kama tungekomaa
 
Nasemajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee?? Kama Yanga inamuongoza Simba kwenye ligi ya Tanzania kaa[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
Kuongiza hata mama anaongoza nchi, hakuna tatizo kwenye kuongoza
 
Back
Top Bottom