ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
inakuuma?Aziz Kindamba ndiye huyu tuliyemnunua Milioni 400??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inakuuma?Aziz Kindamba ndiye huyu tuliyemnunua Milioni 400??
Yaaniiii ngoja nikalale...Najua hupendi ila ndio hivyo tena!! 🤣🤣🤣
Kwa hiyo draw ndio kumfunga? Simba kwa Vipers wali draw?Huoni kwao tulitoa droo hapa tumemnyoa?
Usisahau kunywa maji🤣🤣🤣Yaaniiii ngoja nikalale...
Mlipiga bomu mochwari afu mnajisifia?FUNGA KWANZA NJE NA NDANI KAMA WW MBABE...
Aaah wapii tungepigwa jana ningekunywa kabisa piriton ila point 3 kibindoni hatuna,stressUsisahau kunywa maji🤣🤣🤣
Ndiyo tatizo la kupania game. Kaona unyama wa Chama jana akajazwa ujinga na yeye zamu yake leo 🤣😂🤣Mchambuzi bado yupo na Azizi Ki anadai jamaa alikuwa kama abiria tu uwanjani
Ndio inayo kubuta kila ukiweka mguu uwanjaniYanga butu butu
Hata leo hilo mlilocheza nalo ni puto sema limewapasukia hakuna kitu hapo..vipers mmesahau waliwaharibia siku yenu??Mlipiga bomu mochwari afu mnajisifia?
Timu ilishacheza mechi 7 zote bila kupata hata goli 1 afu mnakaza mafuvu tu, Makolokolo bhana [emoji3]
Niamini mkuu,kweli nakwambiaNasemajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee?? Kama timu yako haina pwointi 7 kimataifa ka[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
Kuongiza hata mama anaongoza nchi, hakuna tatizo kwenye kuongozaNasemajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee?? Kama Yanga inamuongoza Simba kwenye ligi ya Tanzania kaa[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
Kweli mwana Yanga mzuri,amini hata kidogo haya mahesabuHebu huko!!!
Kama hapendi ameze wembeNajua hupendi ila ndio hivyo tena!! 🤣🤣🤣
Naunga mkono hojaHuyu kocha Nabi apewe Man U sasa