Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Nimefikiria tu huyu mchambuzi kama kaweza kumsema hivi Azizi Ki tena akiwa live...vipi akiwa peke yake au sehemu ambayo hakuna Camera hali itakuwaje?🤣😂🤣 Leo niliona niangalizie DSTV. Wazungu huwa wana madongo sana. Anaweza kukuchamba kwa maneno simple tu.