FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

🤣😂🤣 Leo niliona niangalizie DSTV. Wazungu huwa wana madongo sana. Anaweza kukuchamba kwa maneno simple tu.
Nimefikiria tu huyu mchambuzi kama kaweza kumsema hivi Azizi Ki tena akiwa live...vipi akiwa peke yake au sehemu ambayo hakuna Camera hali itakuwaje?
 
Yanga wanatamani kusema Vipers ni wabovu lakini wakikumbuka walivyochomekwa miko kwenye Yanga day wanaishia kugugumia tu[emoji28]. Ila tuache utani Real Bamako ni Vipers iliyochangamka
Sizitaki mbichi hizi,
Ahahaah
 
Ni "siyo" siyo "sio". Lugha tu inakushinda, vingine tatizo linaweza kuwa kuvimbiwa mihogo?
Hata Kiswahili hujui? Unajua vema matumizi ya 'sio' na 'siyo' kweli? Lay low mzee. Chutama. Huna hujualo zaidi ya kukaa kuiwaza Yanga kiasi kwamba hadi shule ukashindwa.
 
walifanya kosa sana, ila ndio mpira wa miguu ulivyo, tutachukua point 3 kwa mazembe
Hapa mimi ndio panaponipa mawazoo na ndio maana narudi kufikir kuwa htukupaswa kuruhusu draw na bamako game ilee...Mazembe watatuua hakyanani..tena kwao??? Aahh sina matumain kabisaa
 
Back
Top Bottom