FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

Itakuwa hivi,Mazembe atampiga Bamako atakuwa na points 6,baada ya hapo atarudi home kumsubiri Yanga ambaye atakuwa ana points 7,maana yanga atapigwa na Monastr game ijayo.

Hapo Mazembe atafia uwanjani pake ili afikishe points 9.

Amini usiamini
 
Weee unaanzaje kunifukuza wkt nipo hapa toka mwanzo...mtani mbona kama huamini mcho yako??
Mtani haya mambo ya ushindi tushayazoea🤣🤣🤣🤣
 
Mayele ni kama okra tuu na sakho waliwapachika bao muruaz
Nasemajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee?? Kama Yanga inamuongoza Simba kwenye ligi ya Tanzania kaa[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
 
Itakuwa hivi,Mazembe atampiga Bamako atakuwa na points 6,baada ya hapo atarudi home kumsubiri Yanga ambaye atakuwa ana points 7,maana yanga atapigwa na Monastr game ijayo.

Hapo Mazembe atafia uwanjani pake ili afikishe points 9.

Amini usiamini
Hebu huko!!!
 
Nasemajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee?? Kama timu yako haina pwointi 7 kimataifa ka[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
 
Mchambuzi bado yupo na Azizi Ki anadai jamaa alikuwa kama abiria tu uwanjani
 
FUNGA KWANZA NJE NA NDANI KAMA WW MBABE...
 
Back
Top Bottom