Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Sawa afande wa Zanzibar ulieamua kuliaibisha jeshi la policHawa utopolo a.k.a vyura hawawezi shinda na watafungwa leo wanakwenda kuiaibisha nchi [emoji20]
Jaribu kuwa na busara kidogo kutukana watu hakufanyi uonekana mjanja! Huu ni mpira tu utani haukosekani. Ficha upumbavu wako.Sawa afande wa Zanzibar ulieamua kuliaibisha jeshi la polic
Hawa [emoji116]ndio waliaibisha nchi kwa mkapaHawa utopolo a.k.a vyura hawawezi shinda na watafungwa leo wanakwenda kuiaibisha nchi [emoji20]
SijuiYanga 4-1 Real Bamako nimekaa paleeeee nasubiri kuitwa zuwena
Halafu mama j fc wanakwambia TP Mazembe ni timu ngumu kuliko vipers.Monastir 1- 0 TP Mazembe
Dk 44
Haya ni matokeo mazuri sana kwa Yanga, robo fainali ileeeeeMonastir 1- 0 TP Mazembe
Dk 44
Tp Mazembe ndio kibonde wa grupu, Uto wasipochukua alama 6 kwa Mazembe ntawaona wazembe kuliko Mazembe wenyeweMonastir 1- 0 TP Mazembe
Dk 44
Unawazungumzia Mazembe [emoji116][emoji116] au??Halafu mama j fc wanakwambia TP Mazembe ni timu ngumu kuliko vipers.
You are right.Chonde chonde , wakae na Mayele, wamshauri, wapinzani Sasa wanaojua stail yake ya uchezaji. Asilazimishe afunge yeye tu ili ateteme, atumie nafasi za mwanzo kutoa assist baada ya timu kushindwa angalau goli 3 , basi aanze kulazimisha kufunga. Pamoja na kuwa anafunga magoli ila anapotezea nafasi nyingi Sana za wazi ambapo Kuna mtu yupo kwenye nafasi nzuri zaidi na anamwona lakini hampi mpira ,analazimisha kupiga Mpira ama unakuwa blocked au unatoka nje.
Wachezaji wamwelewe Ki Aziz kuwa anatoa pasi za haraka na mpenyezo ,ukimpa pasi wahi mbele sio kuzubaa
Mazembe ile siyo hii mkuu. Hii ya sasa hata Mbao fc inajipigia tu . Huo ndiyo ukweli japo watz wengi huwa hatupendi kuambiwa ukweliUnawazungumzia Mazembe [emoji116][emoji116] au??View attachment 2541940View attachment 2541942View attachment 2541943
Wapo kwenye maandalizi ya siku yao mkuu na Wana furaha kwelikweliWomen Day inaendealeaje huko Utopolo
Muheshimu US Monastir amemtoa bingwa mtetezi wa CAFCC ambaye ni Barkane.Halafu mama j fc wanakwambia TP Mazembe ni timu ngumu kuliko vipers.
Hata Simba ile iliyopigwa na Mazembe sio hii ya sasa, hii ya sasa inayopata ushindi wa mungu nisaidie inazibuliwa magoli mengi zaidi ya yale ya zamani na hawa hawa Mazembe mabovu[emoji23][emoji23]Mazembe ile siyo hii mkuu. Hii ya sasa hata Mbao fc inajipigia tu . Huo ndiyo ukweli japo watz wengi huwa hatupendi kuambiwa ukweli
Kwa nini usimuulize Mudi anayekuweka mjini miaka nenda?Women Day inaendealeaje huko Utopolo
Tupe vigezo inayokufanya uione TP Mazembe ni vibondeTp Mazembe ndio kibonde wa grupu, Uto wasipochukua alama 6 kwa Mazembe ntawaona wazembe kuliko Mazembe wenyewe
Halafu naskia mmiliki wa timu bado ana amini kikosi kipo vizuri ila shida ipo kwa mwalimu
Nilisikitika sana kwakweli