FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

Hawa utopolo a.k.a vyura hawawezi shinda na watafungwa leo wanakwenda kuiaibisha nchi [emoji20]
Hawa [emoji116]ndio waliaibisha nchi kwa mkapa
20230218_210453.jpg
 
Monastir 1- 0 TP Mazembe
Dk 44
Tp Mazembe ndio kibonde wa grupu, Uto wasipochukua alama 6 kwa Mazembe ntawaona wazembe kuliko Mazembe wenyewe

Halafu naskia mmiliki wa timu bado ana amini kikosi kipo vizuri ila shida ipo kwa mwalimu

Nilisikitika sana kwakweli
 
Chonde chonde , wakae na Mayele, wamshauri, wapinzani Sasa wanaojua stail yake ya uchezaji. Asilazimishe afunge yeye tu ili ateteme, atumie nafasi za mwanzo kutoa assist baada ya timu kushindwa angalau goli 3 , basi aanze kulazimisha kufunga. Pamoja na kuwa anafunga magoli ila anapotezea nafasi nyingi Sana za wazi ambapo Kuna mtu yupo kwenye nafasi nzuri zaidi na anamwona lakini hampi mpira ,analazimisha kupiga Mpira ama unakuwa blocked au unatoka nje.

Wachezaji wamwelewe Ki Aziz kuwa anatoa pasi za haraka na mpenyezo ,ukimpa pasi wahi mbele sio kuzubaa
You are right.

Mayele ana ka ubinafsi fulani hiviii sometimes.

Sehemu ambayo ni ngumu ku score huwa ana force.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazembe ile siyo hii mkuu. Hii ya sasa hata Mbao fc inajipigia tu . Huo ndiyo ukweli japo watz wengi huwa hatupendi kuambiwa ukweli
Hata Simba ile iliyopigwa na Mazembe sio hii ya sasa, hii ya sasa inayopata ushindi wa mungu nisaidie inazibuliwa magoli mengi zaidi ya yale ya zamani na hawa hawa Mazembe mabovu[emoji23][emoji23]
Hebu ona mtu kama baleke ambae hao Mazembe wabovu hawamtaki simba ndio wameona anawafaa
 
Tp Mazembe ndio kibonde wa grupu, Uto wasipochukua alama 6 kwa Mazembe ntawaona wazembe kuliko Mazembe wenyewe

Halafu naskia mmiliki wa timu bado ana amini kikosi kipo vizuri ila shida ipo kwa mwalimu

Nilisikitika sana kwakweli
Tupe vigezo inayokufanya uione TP Mazembe ni vibonde
 
Back
Top Bottom