FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

Waarabu tuna undugu wa damudamu na Yanga, kuanzia abasi gulamali, abasi tarimba hadi gsm wote ni warabu, kwaio Yanga piga hao mbwakoko wa mali goli ambazo raja Casablanca tulimpiga simba
Akijileta kwenu huyo jamaa mmkande bao tano tuna imani na Raja[emoji123]
 
Mkuu suala la Baleke kuja simba kwa mkopo ni sawa tu na suala la Metacha kuja Yanga kwa mkopo akitokea singida big star. Hii haimaanishi kwamba Yanga ni wabovu kuliko singida au simba ni wabovu kuliko Mazembe.
 
Yanga 4-1 Real Bamako nimekaa paleeeee nasubiri kuitwa zuwena
Huko kwenu kuna ushoga sana mbona kujipa majina y a maanti kila siku. Mara anti ashura, amina mautiai na wewe zuwena. Ukabwili umewajaa sana.
 
Mkuu suala la Baleke kuja simba kwa mkopo ni sawa tu na suala la Metacha kuja Yanga kwa mkopo akitokea singida big star. Hii haimaanishi kwamba Yanga ni wabovu kuliko singida au simba ni wabovu kuliko Mazembe.
Ok hapo sawa. Tuwatakie kila la kheli utopolo kwenye kuliwakilisha taifa la [emoji1241]
 
Wanapigwa tu,kama saa hii keshapigwa tayari huko yani dakika ya 3 tu wayaaa
Kwani anapigwa na timu mbovu? Timu zingine zinaimarika vile vile usikariri majina makubwa tu.
 
Haina quality players
Quality player kwa Africa unapima katika mzani upi? Embu nitajie timu nne za Africa zilizo na quality player halafu nitajie majina ya hao wachezaji ambao ndio unaona quality.
 
Wanapigwa tu,kama saa hii keshapigwa tayari huko yani dakika ya 3 tu wayaaa
Simba aliyepigwa goli sekunde ya 5 tu na Azam, je nayeye tumuitaje?
Tp Mazembe ana makombe 6 Afrika, yaani ni timu ya pili kwa mafanikio barani Afrika baada ya Al Ahly.
Ninyi watu wa Simba kweli mnastahili kuitwa mbumbumbu [emoji1787][emoji1787]
 
Quality player kwa Africa unapima katika mzani upi? Embu nitajie timu nne za Africa zilizo na quality player halafu nitajie majina ya hao wachezaji ambao ndio unaona quality.
Quality players wanne?

Wachezaji wanaoweza kucheza wakaonesha uwezo kama chama au nusu yake tu
 
Game itakuwa ngumu.. Wachezaji hawana budi kupambana sanaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…