Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akijileta kwenu huyo jamaa mmkande bao tano tuna imani na Raja[emoji123]Waarabu tuna undugu wa damudamu na Yanga, kuanzia abasi gulamali, abasi tarimba hadi gsm wote ni warabu, kwaio Yanga piga hao mbwakoko wa mali goli ambazo raja Casablanca tulimpiga simba
Njoo na wewe nikuweke kama una hamu ya kuwekwaKwa nini usimuulize Mudi anayekuweka mjini miaka nenda?
Kwa hiyo unakiri hadharani Mudi anakuweka Mjini!!!Njoo na wewe nikuweke kama una hamu ya kuwekwa
Mkuu suala la Baleke kuja simba kwa mkopo ni sawa tu na suala la Metacha kuja Yanga kwa mkopo akitokea singida big star. Hii haimaanishi kwamba Yanga ni wabovu kuliko singida au simba ni wabovu kuliko Mazembe.Hata Simba ile iliyopigwa na Mazembe sio hii ya sasa, hii ya sasa inayopata ushindi wa mungu nisaidie inazibuliwa magoli mengi zaidi ya yale ya zamani na hawa hawa Mazembe mabovu[emoji23][emoji23]
Hebu ona mtu kama baleke ambae hao Mazembe wabovu hawamtaki simba ndio wameona anawafaa
Wanapigwa tu,kama saa hii keshapigwa tayari huko yani dakika ya 3 tu wayaaaTupe vigezo inayokufanya uione TP Mazembe ni vibonde
Huko kwenu kuna ushoga sana mbona kujipa majina y a maanti kila siku. Mara anti ashura, amina mautiai na wewe zuwena. Ukabwili umewajaa sana.Yanga 4-1 Real Bamako nimekaa paleeeee nasubiri kuitwa zuwena
Haina quality playersTupe vigezo inayokufanya uione TP Mazembe ni vibonde
Ok hapo sawa. Tuwatakie kila la kheli utopolo kwenye kuliwakilisha taifa la [emoji1241]Mkuu suala la Baleke kuja simba kwa mkopo ni sawa tu na suala la Metacha kuja Yanga kwa mkopo akitokea singida big star. Hii haimaanishi kwamba Yanga ni wabovu kuliko singida au simba ni wabovu kuliko Mazembe.
Ndio ameniweka ndani, unasemaje?! Naona unaleta ligi za kidemu.Kwa hiyo unakiri hadharani Mudi anakuweka Mjini!!!
Kwani anapigwa na timu mbovu? Timu zingine zinaimarika vile vile usikariri majina makubwa tu.Wanapigwa tu,kama saa hii keshapigwa tayari huko yani dakika ya 3 tu wayaaa
Quality player kwa Africa unapima katika mzani upi? Embu nitajie timu nne za Africa zilizo na quality player halafu nitajie majina ya hao wachezaji ambao ndio unaona quality.Haina quality players
Simba aliyepigwa goli sekunde ya 5 tu na Azam, je nayeye tumuitaje?Wanapigwa tu,kama saa hii keshapigwa tayari huko yani dakika ya 3 tu wayaaa
Quality players wanne?Quality player kwa Africa unapima katika mzani upi? Embu nitajie timu nne za Africa zilizo na quality player halafu nitajie majina ya hao wachezaji ambao ndio unaona quality.
Tuko pamoja mtaniOk hapo sawa. Tuwatakie kila la kheli utopolo kwenye kuliwakilisha taifa la [emoji1241]
Game itakuwa ngumu.. Wachezaji hawana budi kupambana sanaa..Mabingwa wa kutandaza soka tamu, soka la kuvutia, soka la kumtoa nyoka pangoni, soka ice cream, soka lenye viwango vya Dunia, hapa nawazungumzia Young Africans leo mida ya saa 1.00 usiku watashuka pale dimba la Benjamini Mkapa kutafuta alama tatu zingine ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuingia robo fainali ya michuano ya shirikisho barani Afrika.
Ikumbukwe kuwa mchezo wa awali uliopigwa huko nchini Mali timu hizo zilitoshana nguvu kwa kufungana 1-1 hivyo mchezo wa leo utakuwa mkali kwa timu zote.
Stay tuned....View attachment 2541770View attachment 2541771
Tusijiamini sana. Tunaweza kutelezaLeo ni mvua wa magoli, Mayele goli 3, Musonda goli 2, Aziz K goli 1, Clement Mzize 2, Moloko 1, mtahesabu wenyewe jumla ya hayo magoli