mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
- Thread starter
-
- #61
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3581][emoji3581]View attachment 2542012
Uto washindwe wao
Leooo ndani ya dk15 amkufa Bamakoo....Kosi la maangamizi hili hapaView attachment 2542018
Kwa kikosi hiki naiona hat trick ya Mayele au Yanga ikishinda magoli mengi sanaKosi la maangamizi hili hapaView attachment 2542018
Jezi kama shamba langu la alizetiNasemajeee....? Shangwe kwa Mkapa limeanza[emoji617][emoji172][emoji169][emoji169][emoji617][emoji172][emoji169][emoji91][emoji91]View attachment 2542039View attachment 2542040
Aya mkulima wa alizeti, baada ya jana kuiona timu yetu namba mbili hapa nchini [emoji1241] ikicheza pira mungu nisaidie, Sasa Leo hebu jiandae kuona pira lenye viwango vya Fifa World Cup kutoka utopoloni[emoji617][emoji169][emoji172][emoji196]Jezi kama shamba langu la alizeti
[emoji23]Women Day inaendealeaje huko Utopolo
Nitambue mkuuTimu BAMAKO tutambuane kabisa hapa.
Umeacha tabia zako za kupitishiwa mwiko kunako??Njoo na wewe nikuweke kama una hamu ya kuwekwa
Bro tazama mechi enjoy acha kununua kesi. NimekustahiUmeacha tabia zako za kupitishiwa mwiko kunako??
To all men ambao badala ya kutembea kwa miguu au kuendesha baiskeli, ninyi mnatumia magari kwenda makazini na sehemu nyinginezo, kwa magari na pikipiki...Happy Women's day kwenu