FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

FT: Monastir 1-0 Tp Mazembe
Screenshot_20230308-175547_Gallery.jpg

Uto washindwe wao
 
Nasemajeee....? Shangwe kwa Mkapa limeanza[emoji617][emoji172][emoji169][emoji169][emoji617][emoji172][emoji169][emoji91][emoji91]
20230308_181932.jpg
20230308_181011.jpg
 
Jezi kama shamba langu la alizeti
Aya mkulima wa alizeti, baada ya jana kuiona timu yetu namba mbili hapa nchini [emoji1241] ikicheza pira mungu nisaidie, Sasa Leo hebu jiandae kuona pira lenye viwango vya Fifa World Cup kutoka utopoloni[emoji617][emoji169][emoji172][emoji196]
 
Wananchi wamechangamka sana hapa kiwanjani [emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom