Ni kupoteza risosi au sioAnyway, mnaoangalia mechi msichoke kutupa live updates maana siwezi nikakaa dk 90 nawaangalia utopolo wakiruka ruka na utopolo wenzao kutokea huko west Africa,, matumizi mabaya sana ya muda.
Ndo mnavyo danganyana malosers [emoji16]As real Bamako wanauwezo wa kuifunga Raja Casablanca nje ndani.. sema wamekutana na timu Bora Tanzania, east Africa na Afrika kwa ujumla hivyo hawana namna
Samahani wakuu, hivi hayo ni mashindano gani ?
ukweli leo pasi zao zina shida, alafu wana cheza hawajiaminiHawa Uto wajiangalie sana
Ni vibonde kama vipersHao mnaocheza nao ni vibonde kama TP mazembele
Wakiwa kwenye siku yao ya wanawakeNdo mnavyo danganyana malosers [emoji16]
Huko Afrika mbona umeenda mbali sana? Hebu anzia tu hapa hapa nchini ambapo wote wanashiriki ligi Moja je nani anaongoza?Samahani hivi yanga ni ya ngapi kwenye msimamo wa klabu za africa? Ukilijua hilo utajificha kwa aibu!!
Ni mashindano ya caf confederation cup kwa klabu zilizoshindwa kupenya kwenye mashindano ya mabingwa!! Kwa kifupi ni mashindano ya loser's!! ni sawa na MEMKWA!!Samahani wakuu, hivi hayo ni mashindano gani ?
tawile mgangaHili kundi wanaopita ni Monastir na TP Mazembe
Acha kututisha aisee...Bamako wanawachapa uto soon
Hata uzi wao hawana hamu nao..Mungu awaepushe na hii dhahma wapate japo drooKwani mbona Yanga wamejikatia tamaa mapema hivi
kuna goli zaidi ya 2 hapo yanga anashindaHata uzi wao hawana hamu nao..Mungu awaepushe na hii dhahma wapate japo droo
Ngoja tusubiri tiwoneeekuna goli zaidi ya 2 hapo yanga anashinda
jamaa ana presha, anataman afanye jambo kubwa ila inashindikanaMsonda anaonekana amechoka