Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Naona Djuma kapunguza sana uzito ... baada ya kuambiwa ukweli na Zahera
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukuombee mechi ya kirafiki ?Ni vibonde kama vipers
na nawashinda
Kushinda labda kwa mbiiiiindeeeena nawashinda
Mtani hii roho mbaya si ulisema umeachana nayo🙆🙆🙆🙆Na mtachapika sana leo.jipeni matumaini na hako kagoli
Nilikuwa nakusoma tu leo haya bana endelea tu.Acha kututisha aisee...
Yanga 0 - Vipers 2!! Hiyo ni siku ya wananchi, yanga walifungwa na vibonde vipers!! Msijifanye kuwa mmesahau!!Ni vibonde kama vipers
Jamani kipenzi upo?? Umebadili na ID mbona??Mtani hii roho mbaya si ulisema umeachana nayo🙆🙆🙆🙆
Umeeleweka mkuu..Ni mashindano ya caf confederation cup kwa klabu zilizoshindwa kupenya kwenye mashindano ya mabingwa!! Kwa kifupi ni mashindano ya loser's!! ni sawa na MEMKWA!!
Walete tuwachape kama ngomaTukuombee mechi ya kirafiki ?