FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

Kazi na Umri
Kwenye CV yake ana miaka 23, hajapishana sana na Onyango
Screenshot_20230308-194803.png
 
Simba na yanga zina tabia ya kushabihiana matokeo hivyo usishangae hii mechi ikiisha yanga 1-0,, ila ikiisha 1-2 in favor of Bamako itapendeza zaidi
 
sio kwa yanga hii
 
Mayele amekosa utulivu, mpk sasa yanga wangekua wana goli 3
 
Yanga mkirudi na uchezaji huu kipindi cha pili mtatafutana
 
Back
Top Bottom