mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
- Thread starter
- #261
Yanga inaenda mapumziko kwa goli Moja kaliiiii sana na mpira mwiiiiiiiingi sana tofauti na ule mpira mungu nisaidie wa jana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kozi ya ulozi ulisomea wapi?? 😄 😄 😄Simba na yanga zina tabia ya kushabihiana matokeo hivyo usishangae hii mechi ikiisha yanga 1-0,, ila ikiisha 1-2 in favor of Bamako itapendeza zaidi
unasema..!?Yanga ni kikundi cha wahuni
Ni mbwembwe au ujingaa!??Mayele amekosa utulivu, mpk sasa yanga wangekua wana goli 3
Kama timu yako paka muda huu haina point 7 kama za Yanga kaa kimyaYanga mkirudi na uchezaji huu kipindi cha pili mtatafutana
Anacheza na nani, kwenye mashindano gani ?Yanga inaenda mapumziko kwa goli Moja kaliiiii sana na mpira mwiiiiiiiingi sana tofauti na ule mpira mungu nisaidie wa jana
Yani wameanza vizuri ila kifwatacho niUjinga kabisa...
Hii mechi naona kila mtu anapresha hususani baada ya kupata bao nimeona Bamako wanafika sana eneo lenujamaa ana presha, anataman afanye jambo kubwa ila inashindikana
Mpira sio maneno
kweli mkuu ila kwa yanga hii maneno yanahusikaMpira sio maneno
Ugali kwa sukari mkuuMbona Yanga wanaanguka anguka sana au walikula makande kwa mlenda leo?
ngoja tuwaongeze ma 2 watulieHii mechi naona kila mtu anapresha hususani baada ya kupata bao nimeona Bamako wanafika sana eneo lenu
Leo hayupo kwenye mchezo.Mbona mapema sana, milioni 400 hizo mkuu
Amiiina mtani akeeeMungu wa jana, ndiyo Mungu wa leo 🙏🙏🙏
Pengo Dr Aucho linaonekanaNimechungulia banda umiza dakika kama 20 za mwisho za first half...
Yanga wamekatika kwenye kiungo, mipira haikai kati na mbele kabisa...
Yanga inabidi second half ijaze watu kati wakati wakipoteza mpira na wakiwa na mpira, hawa jamaa wanacheza sana kati na winga yao ya kushoto, somebody Fofana...
Kile kichwa na lile shuti alilopaisha hadi Nabi ameinama akisikitikaMayele amekosa utulivu, mpk sasa yanga wangekua wana goli 3