FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

Yanga inaenda mapumziko kwa goli Moja kaliiiii sana na mpira mwiiiiiiiingi sana tofauti na ule mpira mungu nisaidie wa jana
 
Nimechungulia banda umiza dakika kama 20 za mwisho za first half...

Yanga wamekatika kwenye kiungo, mipira haikai kati na mbele kabisa...

Yanga inabidi second half ijaze watu kati wakati wakipoteza mpira na wakiwa na mpira, hawa jamaa wanacheza sana kati na winga yao ya kushoto, somebody Fofana...
 
Jamani hakuna cha maana kwa Yanga mpk sasa...so msivimbe mibichwa mkikutana huko mbele mtaomba poo.. ila leo mvuke tuu tulale vzr na kesho maofisini kuwe salama maana maboss wa kijani njano wakaksi kweli kweli mkifungwa..
 
Nimechungulia banda umiza dakika kama 20 za mwisho za first half...

Yanga wamekatika kwenye kiungo, mipira haikai kati na mbele kabisa...

Yanga inabidi second half ijaze watu kati wakati wakipoteza mpira na wakiwa na mpira, hawa jamaa wanacheza sana kati na winga yao ya kushoto, somebody Fofana...
Pengo Dr Aucho linaonekana
 
Back
Top Bottom