Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo pembeni anachat na SaidooDomo yupo kweli?
Unaumizwa sana na Yanga we dadaYanga ndombolo ya solo...bendi inatumbuiza kwny kilele cha women leo
yapYa wanaume wanaovaa nepi!!
🤣🤣🤣🤣🤣Jamani kipenzi upo?? Umebadili na ID mbona??
Nawapa tuu ka joto joto mkibaki peke yenu mtapooza..
Kwa yepiiii hayooUnaumizwa sana na Yanga we
Hii mechi msije mkashinda katika mazingira ambayo yalitukuta sisiukweli leo pasi zao zina shida, alafu wana cheza hawajiamini
Acha roho mbaya wewe dadaJamani kipenzi upo?? Umebadili na ID mbona??
Nawapa tuu ka joto joto mkibaki peke yenu mtapooza..
Huku wakichezewa chezewa shanga viunoniDak 45 bado Yanga wanaongoza bao moja
Kimoyo moyo nawaombea mjueee 😄 😄 😄🤣🤣🤣🤣🤣
Hapana mtani, hebu tuombee heri.
Kazi na UmriTwisila tayari kaishashusha gear box
🤣🤣🤣🤣Kimoyo moyo nawaombea mjueee 😄 😄 😄
Kashika kende, hali mbayaMzee wa bwax mbona huleti updates?
mniache na roho mbaya yangu mr mchambuziiiAcha roho mbaya wewe dada