FT: Yanga S.C 3-1 Geita Gold | NBC Premier League | Chamazi Complex | 12.03.2023

FT: Yanga S.C 3-1 Geita Gold | NBC Premier League | Chamazi Complex | 12.03.2023

Tumekubaliana humu ligi ya ndani kuwa anaetembeza bahasha zaidi ndio anayefunga magoli mengi, kwaio Simba mnaongoza kutembeza bahasha.
Na mkasema kipimo kizuri kipo kule kimataifa, Aya Yanga ameshafunga magoli 6 kimataifa Simba imefunga magoli 2 tu
Kumbeee
 
Na,Iona goli za kutosha, Mayele [emoji460][emoji460], Musonda[emoji460][emoji460], Mzize[emoji460][emoji460], Aziz[emoji360][emoji460][emoji460]
Morison [emoji460]

Yanga 9-1 Geita gold. Goli la Geita atajifunga zawadi mauya
Mkuu mbona goli ni nyingi sana hizo??
 
Na,Iona goli za kutosha, Mayele [emoji460][emoji460], Musonda[emoji460][emoji460], Mzize[emoji460][emoji460], Aziz[emoji360][emoji460][emoji460]
Morison [emoji460]

Yanga 9-1 Geita gold. Goli la Geita atajifunga zawadi mauya

morrison anacheza leo?
 
morrison anacheza leo?
Tena anasema anapiga goli[emoji460][emoji460] leo
20230312_165951.jpg
 
Kumbe hujui, Yanga imeamua ifunge magoli huko kimataifa maana humu ndani mnasema bahasha... Sasa imeshajulikana watoa bahasha ni kina nani maana Wana goli 2 tu za kimataifa paka sasa
AAa wapiii kwani humu ndani toka ligi ianze imeshafunga kitu gani mpk kiwashtue watu waseme ni bahasha?
Mm sio muumini wa kusema bahasha...
 
AAa wapiii kwani humu ndani toka ligi ianze imeshafunga kitu gani mpk kiwashtue watu waseme ni bahasha?
Mm sio muumini wa kusema bahasha...
Kama hivyo basi Wewe haupo lile kundi la vichwa vya wendawazimu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hutawaona mpaka timu ipate ifunge
Majukumu tu yanawabana mkuu, nimegundua Wananchi wengi ni maboss na watu wazito ambao sio muda wote wanakuwa na muda wa kuja jf kuzurula zurula kama ilivyo kwa sisi Wana Simba ambao wengi wetu ni jobless hatuna shughuli maalumu ndio maana unatuona tupo humu masaa 24/7[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona takwimu zinaonyesha vibaka na panya road ni wananchi.
 
Back
Top Bottom