mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
- Thread starter
- #61
Dak ya 10 Bado milango ni migumu kwa pande zote japo Yanga wanacheza mpira mwiiiiiiiingi sana hapa[emoji1][emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga ni timu yenye quality players. Kila mchezaji katika kikosi cha Yanga, ana sifa ya kuanza kwenye mechi yoyote ile.Kwahyo mayele anasubir kucheza caf kimataifa ya lipumba
Endelea kubinya pyumbuNi mwendo wa minazi tu
Yalianzia pale Manungu, wafiwa walikua na huzuni sana mkawapa bahasha za poleKama hali itaendelea hivi hivi, kipindi cha pili tutegemee makosa ya kibinadamu kwa golikipa wa Geita
Na kweli wamepigwaMda wowote Hawa geita simba gold watabigwa bao