Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Kinyonge sana mzeeGoaaal Geita wanatangulia goli la kufutia machozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinyonge sana mzeeGoaaal Geita wanatangulia goli la kufutia machozi
Hiyo haituhusu sisi😂Mzize amekosa goli la wazi kabisa
Mkuu sisi sio vipofuLango la Geita lipo kwenye mashambulizi makali km ya Russia
Haha hivi hujui Diara ndie anayeongoza kwa zaidi ya cleansheet nne?Kinacho nifurahisha ni kwamba mpaka muda huu hawana cleansheet
Diarra ana cleansheet 14, manula jana amepata ya 12 hiyo nne imetoka wapi ..Haha hivi hujui Diara ndie anayeongoza kwa zaidi ya cleansheet nne?
Mmeishiwa furaha ya makombe kabisa mnajifariji kwa cleansheet napo mmezidiwa mbali tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe unajua, kwaio subilieni kombe la cleansheetDiarra ana cleansheet 14, manula jana amepata ya 12 hiyo nne imetoka wapi ..