FT: Yanga S.C 3-1 Geita Gold | NBC Premier League | Chamazi Complex | 12.03.2023

FT: Yanga S.C 3-1 Geita Gold | NBC Premier League | Chamazi Complex | 12.03.2023

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapa hawafungi had kipindi cha pili muamala ukisoma
 
😃😃 Vijana wetu wanacheza show game! Halafu wamekosa utulivu na pia wanapoteza pasi nyingi. Labda kipindi cha pili watabadilika. Ila wakiendelea na aina hii ya mchezo, tukijitahidi sana basi ni sare.
Nafikiri uchovu, pia kujiamini. Haya mambo ndiyo yalitukatishia unbeaten yetu, hivihivi kizembe. Kweli wakaze kipindi cha pili lah tutaambia nini watu 😂😂😂😂😂😂
 
Niko huku mgodini geita ila hali ya hewa siyo nzuri[emoji196][emoji3][emoji196][emoji196][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223]
 
Nafikiri uchovu, pia kujiamini. Haya mambo ndiyo yalitukatishia unbeaten yetu, hivihivi kizembe. Kweli wakaze kipindi cha pili lah tutaambia nini watu 😂😂😂😂😂😂
Khaa MNA uchovu wa nini nyie uto
 
Back
Top Bottom