OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Puliza filimbi weka tutaTumenyimwa penati ya wazi hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Puliza filimbi weka tutaTumenyimwa penati ya wazi hapa
Jitahidi sana kula carrot mkuuTumenyimwa penati ya wazi hapa
Nafikiri uchovu, pia kujiamini. Haya mambo ndiyo yalitukatishia unbeaten yetu, hivihivi kizembe. Kweli wakaze kipindi cha pili lah tutaambia nini watu 😂😂😂😂😂😂😃😃 Vijana wetu wanacheza show game! Halafu wamekosa utulivu na pia wanapoteza pasi nyingi. Labda kipindi cha pili watabadilika. Ila wakiendelea na aina hii ya mchezo, tukijitahidi sana basi ni sare.
Tunashukuru umeliona hiloHuyu Musonda tumepigwa jamani, hawezi ku turn
hahaha anaongoza kwa kutoruhusu magoli mengi msimu wa 2 ujue mkuuEti mdaka mishale..upuuzi mtupu
hii hata mtoto wa la 3 hawezi kukubaliYanga hana timu, ni ujanja ujanja tu
Jiandae kulala na viatu leo 😂Nafikiri uchovu, pia kujiamini. Haya mambo ndiyo yalitukatishia unbeaten yetu, hivihivi kizembe. Kweli wakaze kipindi cha pili lah tutaambia nini watu 😂😂😂😂😂😂
Mkuu, umetoka chimbo 😁😁Eti mdaka mishale..upuuzi mtupu
Unaangalia lakini mnavyoruka rukahii hata mtoto wa la 3 hawezi kukubali
Khaa MNA uchovu wa nini nyie utoNafikiri uchovu, pia kujiamini. Haya mambo ndiyo yalitukatishia unbeaten yetu, hivihivi kizembe. Kweli wakaze kipindi cha pili lah tutaambia nini watu 😂😂😂😂😂😂
si muda tutampasuaUnaangalia lakini mnavyoruka ruka