FT: Yanga S.C 3-1 Geita Gold | NBC Premier League | Chamazi Complex | 12.03.2023

FT: Yanga S.C 3-1 Geita Gold | NBC Premier League | Chamazi Complex | 12.03.2023

Machampioni watetezi wa ligi kuu nchini Tanzania Young Africans S.C almaarufu Yanga leo wanashuka dimbani kuzisaka alama 3 dhidi ya Geita Gold kutoka mkoani Geita katika mwendelezo wa ligi kuu ya Nbc...

Mchezo huo utakuwa mgumu kwa timu zote kwani Yanga wanataka kushinda ili kuzidi kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi huku na Geita nao wakiitaji alama zote tatu ili kujiweka sawa kwenye msimamo wa ligi.
Ikumbukwe kuwa toka wamepanda ligi kuu, Geita Gold wamepoteza Michezo yote waliyokutana na Yanga hivyo mchezo wa leo utakuwa mgumu zaidi maana wamepania kufuta uteja kwa Yanga.

Mchezo utapigwa majira ya saa 12:15 jioni pale katika dimba la Azam Chamazi Complex

View attachment 2547599
This is simbaaa piga hao
 
Back
Top Bottom