Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Mzize ( umri 18) [emoji38]Mzize amekosa goli la wazi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzize ( umri 18) [emoji38]Mzize amekosa goli la wazi kabisa
Halafu mkuu, nataka utulie hapo hapo, usikimbie tukisawazishaPuliza filimbi weka tuta
Eeh huyu ni hazina ya taifa [emoji1][emoji1]Mzize ( umri 18) [emoji38]
Hatutaki visingizio, mnaanza mapema hiviWaambie watu mnapumulia mipira labda mpaka muamala
Mnacheza na GeitaUnakumbuka Tp mazembe tulimfanya nini
Kila goti litapigwa.Hii game inaanza kuwa ngumu kwa Yanga, hatuna utulivu kabisa pale mbele.. najua prof Nabi atalifanyia kazi muda sio mrefu
Huu utabiri nimeupenda
This is simbaaa piga haoMachampioni watetezi wa ligi kuu nchini Tanzania Young Africans S.C almaarufu Yanga leo wanashuka dimbani kuzisaka alama 3 dhidi ya Geita Gold kutoka mkoani Geita katika mwendelezo wa ligi kuu ya Nbc...
Mchezo huo utakuwa mgumu kwa timu zote kwani Yanga wanataka kushinda ili kuzidi kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi huku na Geita nao wakiitaji alama zote tatu ili kujiweka sawa kwenye msimamo wa ligi.
Ikumbukwe kuwa toka wamepanda ligi kuu, Geita Gold wamepoteza Michezo yote waliyokutana na Yanga hivyo mchezo wa leo utakuwa mgumu zaidi maana wamepania kufuta uteja kwa Yanga.
Mchezo utapigwa majira ya saa 12:15 jioni pale katika dimba la Azam Chamazi Complex
View attachment 2547599
Point 3Goaaal Geita wanatangulia goli la kufutia machozi
Mnazihesabu kabla hamjafungaSasa mkuu tutazifungaje wakati kipindi cha pili bado?
Mtapata tabu sanaMusondanamna gani pale anashindwa kuweka mpira kambani