FT: Yanga S.C 3-1 Geita Gold | NBC Premier League | Chamazi Complex | 12.03.2023

FT: Yanga S.C 3-1 Geita Gold | NBC Premier League | Chamazi Complex | 12.03.2023

Geita ya minziro haiwez shinda dhidi ya yanga.
Ni sawa yanga akutane na singida .
Hii ni zuga tu subir kipind Cha pili uone magoli ya ajab ajab yakipatikana Kwa uto
Hatimae.
 
Haya yalitegemewa ,uto lazima ashinde Kwa namna yoyote ile
 
DJ walete tena Geita... bado mapema sana,tunawadai magoli kadhaa,wametuchokoza kipindi cha kwanza,hilo ndiyo kosa lao.
 
Back
Top Bottom