tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 21,329
- 28,063
Hamna ligi hapa huu uhuni na upangaji matokeoImethibitishwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna ligi hapa huu uhuni na upangaji matokeoImethibitishwa
Tuwawinde sioNipo hapa Azam complex nimewaleta mashemeji na wife jumla wapo wa 3
So mke ni yanga mimi mume ni Simba
Baada ya geita kusawazisha nimekasirika Sana na watarud nyumbani Kwa miguu nipo pale nimekaa 🤓🤓🤓
Hamna ligi hapa huu uhuni na upangaji matokeoYanga vs Yanga B
Simba yako inaweza? Maana tangu makocha wawili nyuma, hujatoboa kwa Yanga. Ulikuwa unafungwa magoli ya ajabu? Kipi kilikushinda wewe ukataka wenzako waweze?Geita ya minziro haiwez shinda dhidi ya yanga.
Ni sawa yanga akutane na singida .
Hii ni zuga tu subir kipind Cha pili uone magoli ya ajab ajab yakipatikana Kwa uto
Leta timu yako isaidie.safu ya ulinzi GGF inacheza kama wanawatafutia magoli Yanga. Magoli mawili ukiangalia yalipoanzia ni harufu ya bahasha tu
Aisee, ni kweli mabao mawili ya haraka haraka tayari.Geita ya minziro haiwez shinda dhidi ya yanga.
Ni sawa yanga akutane na singida .
Hii ni zuga tu subir kipind Cha pili uone magoli ya ajab ajab yakipatikana Kwa uto
kama tu safu ya mazembe ilikimbizwa iwe hii ya geitasafu ya ulinzi GGF inacheza kama wanawatafutia magoli Yanga. Magoli mawili ukiangalia yalipoanzia ni harufu ya bahasha tu
Nenda kawawinde labda uwe jiran Kuna foleni sana njian.... 🤓🤓🤓🤓Tuwawinde sio
timu yake kushinda ligi kuu mbele ya yanga imepita miaka 5Leta timu yako isaidie.
Bado.... paka maji muite maaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]Hamna ligi hapa huu uhuni na upangaji matokeo
unasikiliza kwenye redio?Leta timu yako isaidie.
Naona umeandika ukafuta Mtani. Teh teh.Unacheza namba ngapi
Alafu yapo hapa yanashupaa kuona wengine wanakandwa kama vile wao kuifunga Yanga wanaweza. [emoji1787][emoji1787]timu yake kushinda ligi kuu mbele ya yanga imepita miaka 5
Game ya Mtibwa jana uliona vile beki zinakabia macho badala ya kucheza mpirasafu ya ulinzi GGF inacheza kama wanawatafutia magoli Yanga. Magoli mawili ukiangalia yalipoanzia ni harufu ya bahasha tu
Watafika kesho sioNenda kawawinde labda uwe jiran Kuna foleni sana njian.... 🤓🤓🤓🤓
kwa yanga hii, utawaacha sanaNipo hapa Azam complex nimewaleta mashemeji na wife jumla wapo wa 3
So mke ni yanga mimi mume ni Simba
Baada ya geita kusawazisha nimekasirika Sana na watarud nyumbani Kwa miguu nipo pale nimekaa 🤓🤓🤓